RonaldoLionelMessi

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Wednesday, 19 June 2013

Freeman Mbowe na Mwenzake Godbless Lema bado Wanasakwa na Jeshi la Polisi Jijini Arusha

Posted on 23:51 by Unknown
Jeshi la polisi nchini limesema bado linawasaka mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo "CHADEMA" Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kufuatia vurugu zilizotokea juzi na madai yao kuwa wanao ushahidi wa kutosha kuhusu polisi kuhusika na kurusha bomu katika mkutano wa Chadema.

Mkuu wa Operesheni ya jeshi na Mafunzo Kamishina Paul Chagonja alisema jeshi la polisi bado linawata Lema na Mbowe wajitokeze hadharani na kutoa ushahidi kwamba polisi walihusika katika kurusha bomu katika mkutano wa Chadema na kusababisha vifo vya watu watatu na jana aliongezeka mwengine na kufikia wanne.

Kamishina Chagonja alisema pia kwa sasa jiji la Arusha ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao bila wasi wasi na kuongeza kuwa endapo Lema na Mbowe hawaliamini jeshi la polisi katika kuwasilisha ushahidi wao, kuna mamlaka nyingi, kuna walinzi wa amani kila mahali, waende hata kwa shehe au hata kwa padre, na kufikia hatua hadi ya kusema kama wana wasi wasi basi waende kwa amiri jeshi mkuu na kumwambia mzee vijana wako hawa hapa na wanatufanyia hiki.

Kamishina Chagonja alisema hali sasa hivi Arusha ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, watalii wanaonekana kila kona za jiji, magari, akina mama sokoni wanaendelea na kazi zao, hivyo hali ya amani imerudi.

Wakati huo huo wabunge wanne wa Chadema, Tundu Lisu wa Singida Mashariki, Mustafa Akonay na Joyce Nkya wa viti maalum na mwingine mmoja waliachia huru kwa dhamana pamoja na wafuasi wao sitini baada ya kushikiliwa na polisi kufuatia kuhusika na mkusanyiko usio wa halali.

Source: Nipashe Radio One
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • If You Missed Some Games of The AFCON From S.Africa. Here Are Actions in Pictures For You.
  • Thomas Ulimwengu, Mbwana Samata na Wenzao Waliowasambaratisha Morocco
    Unaweza kuielezeaje mechi hii ya Stars v Morocco?
  • Liverpool Waliompa Kipigo Norwich Hawa Hapa
      Huku Suarez akipiga hat-trick
  • Simba,Yanga nani kuchimba dawa kesho? | darhotwire
    Simba,Yanga nani kuchimba dawa kesho? | darhotwire
  • Hatimaye Lulu Aliona Jua.
    Yule msanii maarufu sana hapa nchini kwenye tasnia ya filamu za bongo maarufu kama "Bongo Movie" Elizabeth maarufu kama "Lulu...
  • Pictures: Mario Balotelli's car gets pissed on and greased with bum sweat by Man United fans | 101GG Football news
    Pictures: Mario Balotelli's car gets pissed on and greased with bum sweat by Man United fans | 101GG Football news
  • Wayne Rooney Aanza Mzoezi Man United!
    Meneja mpya wa Man United Daivd Moyes amesisitiza kwamba ana mahusiano mazuri sana na mchezaji wake Wayne Rooney na kuthibitisha kwamba msha...
  • John Terry – Guilty and Not Guilty…What’s the difference?
    John Terry – Guilty and Not Guilty…What’s the difference?
  • These are the 5 Problems That Manchester United Should Fix in Defence
    As Written by HITC SPORT   The System Ultimately the formation that Sir Alex Ferguson chose to play in the match against Cluj worked becaus...
  • Kibaki stands with outraged Kenyans, rejects Sh2.1b MPs bonus. via Capital FM-Kenya
    As it was reported yesterday by Capital FM-Kenya   NAIROBI, Kenya, Oct 9 – President Mwai Kibaki has declined to assent to the amended Fina...

Blog Archive

  • ▼  2013 (172)
    • ►  August (33)
    • ►  July (29)
    • ▼  June (40)
      • PICHA HIZI ZINADHIHIRISHA KUWA WANA AFRIKA YA KUSI...
      • Hali Ya Nelson Mandela Yaleta Utata Mtupu
      • Haya Ndiyo Aliyoyasema Shinji Kagawa!
      • CHADEMA Wafunguka Tena. Safari hii ni Kuhusu Ugaid...
      • Nelson Mandela in Critical Condition. As Written b...
      • Yalojiri Kwenye Mechi Kali ya Japan Dhidi ya Italy
      • Freeman Mbowe na Mwenzake Godbless Lema bado Wanas...
      • CHADEMA Walonga na Kusema: "Tutawapa Polisi Mkanda...
      • East African Affairs ministers meet in Arusha
      • Via IPPMEDIA: Wassira challenges Mbowe to name Sat...
      • Kama Ulikosa Matukio ya Mabomu Arusha, Tazama Pich...
      • CHADEMA Wafunguka. Unajua Wanasemaje? Fungua Usome...
      • United's David Moyes handed £60m transfer kitty by...
      • MANDELA'S WIFE THANKS WORLD FOR 'LOVE, GENEROSITY'
      • JAY-Z ANNOUNCES NEW ALBUM WITH SAMSUNG DEAL
      • Alimanusura Stars Wamuue Tembo!!! Ivory Coast Wat...
      • Charles James Kahela, Aliyenusurika Kuuawa kwa Bom...
      • Huyu Hapa ni Wilfried Zaha wa MUFC
      • RVP KEPTENI WA UHOLANZI
      • Unamfahamu Manuel Pellegrini, Bosi Mpya wa MCFC? H...
      • Real Madrid's Offer to Ronaldo
      • Kama Unataka Kujua Alichosema Cristiano Ronaldo Ju...
      • Cesc Fabregas Kadai Maisha ya La Liga ni Matamu, H...
      • Najua Unamfahamu Busta Rhymes wa Mamtoni. Sasa Som...
      • Busta Rhymes - #Twerkit (Remix) Ft. Nicki Minaj | ...
      • Umeiona Kmart Clothing Collection Ya Nicki Minaj? ...
      • Mourinho Alipoulizwa Kama Anamuhitaji Wayne Rooney...
      • Ushahidi wa Lionel Messi Kukwepa Kulipa Kodi Huu H...
      • Huu Hapa ni Ushahidi Kwamba Lewandowski Katia Dole...
      • Manchester United Wammulika Thiago Alcantara
      • Videos | TJ Boyce - It's On | Nayo mpyaa!
      • Videos | RaVaughn - Best Friend | Mpyaaaa Kabisa!
      • Glenn Lewis - Can't Say Love. Ni Mpya Hii.
      • Jay-Z Ampa Skylar Diggins Benz Kama Zawadi ya Gra...
      • Is Tatyana Ali Dating Drake?
      • D'You Want to Know What Kelly Price Is About to Do?
      • Joe Thomas Akifunguka; Pia Kuhusu Album Yake Mpya.
      • Fabregas Kusaini Manchester United ama Arsenal?
      • Mourinho "the happy one" Unataka kujua kwa nini? f...
      • Robert Lewandowski Haendi Bayern Munich
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ►  2012 (128)
    • ►  December (47)
    • ►  November (18)
    • ►  October (48)
    • ►  September (15)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile