RonaldoLionelMessi

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Monday, 10 June 2013

Fabregas Kusaini Manchester United ama Arsenal?

Posted on 12:04 by Unknown
Mlinzi wa zamani wa Manchester United Denis Irwin amedai kwamba timu yake wataenda mbinguni na duniani katika harakati zao za kumtilisha saini  kiungo wa Barcelona Cesc Fabregas msimu huu.  

Arsenal wanaaminika kutaka kumsainisha tena nahodha wao huyo wa zamani kama yeye mwenyewe atapenda kuondoka Primera Division Champions na kurudi kwenye Premier League, lakini Irwin anapendekeza kuwa United wanashawishika kuwa na nafasi kubwa ya kumpata mwanandinga huyo mwenye umri wa miaka 26.

Irwin alikuwa ni miongoni mwa wasomi wa kwanza kudhihirisha United kumhitaji mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Robins Van Persie mwaka jana na sasa beki huyo wa zamani ambaye bado anafanya kazi kama balozi wa Old Trafford amedhihirisha kuwa Fabregas ndiyo tageti lao la mwisho.  

"Cesc Fabregas ameongeza list ya wanaowaniwa na United na kupewa kipaumbele cha juu na mabingwa hao wataenda mbinguni na duniani ili kumnasa mkali huyo." Aliliambia gazeti kongwe la Sunday World.  


"Mkali huyo wa Barcelona anataka kuondoka Nou Camp na United wanamuhitaji ile mbaya, hivyo dili itapaswa kufanywa kwa urahisi. Fabregas ni kiungo wa aina yake ambaye United wanahitaji iwapo wanataka kuendelea kutetea Ubingwa wao na Ligi ya mabingwa."

 Irwin pia alitabiri kuwa United wanaonesha kumuhitaji  Leighton Baines wa Everton na Luke Shaw wa Southampton, huku akipendekeza kuwa Winga machachari Nani na Beki mkongwe na mgumu kupitika Patrice Evra wataondoka Old Trafford msimu huu wakati meneja mpya David Moyes akijiandaa kuchukua mikoba ya Sir Alex Ferguson. 

"Nani ataenda Monaco na Patrice Evra pia atarudi kwenye timu yake aliyokuwa kabla hajajiunga na United," alisema Irwin. "Nimesikia neno pia kwamba meneja mpya atamhitaji Luke Shaw kwenye list yake. 
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • If You Missed Some Games of The AFCON From S.Africa. Here Are Actions in Pictures For You.
  • Thomas Ulimwengu, Mbwana Samata na Wenzao Waliowasambaratisha Morocco
    Unaweza kuielezeaje mechi hii ya Stars v Morocco?
  • Liverpool Waliompa Kipigo Norwich Hawa Hapa
      Huku Suarez akipiga hat-trick
  • Simba,Yanga nani kuchimba dawa kesho? | darhotwire
    Simba,Yanga nani kuchimba dawa kesho? | darhotwire
  • Hatimaye Lulu Aliona Jua.
    Yule msanii maarufu sana hapa nchini kwenye tasnia ya filamu za bongo maarufu kama "Bongo Movie" Elizabeth maarufu kama "Lulu...
  • Pictures: Mario Balotelli's car gets pissed on and greased with bum sweat by Man United fans | 101GG Football news
    Pictures: Mario Balotelli's car gets pissed on and greased with bum sweat by Man United fans | 101GG Football news
  • Wayne Rooney Aanza Mzoezi Man United!
    Meneja mpya wa Man United Daivd Moyes amesisitiza kwamba ana mahusiano mazuri sana na mchezaji wake Wayne Rooney na kuthibitisha kwamba msha...
  • John Terry – Guilty and Not Guilty…What’s the difference?
    John Terry – Guilty and Not Guilty…What’s the difference?
  • These are the 5 Problems That Manchester United Should Fix in Defence
    As Written by HITC SPORT   The System Ultimately the formation that Sir Alex Ferguson chose to play in the match against Cluj worked becaus...
  • Kibaki stands with outraged Kenyans, rejects Sh2.1b MPs bonus. via Capital FM-Kenya
    As it was reported yesterday by Capital FM-Kenya   NAIROBI, Kenya, Oct 9 – President Mwai Kibaki has declined to assent to the amended Fina...

Blog Archive

  • ▼  2013 (172)
    • ►  August (33)
    • ►  July (29)
    • ▼  June (40)
      • PICHA HIZI ZINADHIHIRISHA KUWA WANA AFRIKA YA KUSI...
      • Hali Ya Nelson Mandela Yaleta Utata Mtupu
      • Haya Ndiyo Aliyoyasema Shinji Kagawa!
      • CHADEMA Wafunguka Tena. Safari hii ni Kuhusu Ugaid...
      • Nelson Mandela in Critical Condition. As Written b...
      • Yalojiri Kwenye Mechi Kali ya Japan Dhidi ya Italy
      • Freeman Mbowe na Mwenzake Godbless Lema bado Wanas...
      • CHADEMA Walonga na Kusema: "Tutawapa Polisi Mkanda...
      • East African Affairs ministers meet in Arusha
      • Via IPPMEDIA: Wassira challenges Mbowe to name Sat...
      • Kama Ulikosa Matukio ya Mabomu Arusha, Tazama Pich...
      • CHADEMA Wafunguka. Unajua Wanasemaje? Fungua Usome...
      • United's David Moyes handed £60m transfer kitty by...
      • MANDELA'S WIFE THANKS WORLD FOR 'LOVE, GENEROSITY'
      • JAY-Z ANNOUNCES NEW ALBUM WITH SAMSUNG DEAL
      • Alimanusura Stars Wamuue Tembo!!! Ivory Coast Wat...
      • Charles James Kahela, Aliyenusurika Kuuawa kwa Bom...
      • Huyu Hapa ni Wilfried Zaha wa MUFC
      • RVP KEPTENI WA UHOLANZI
      • Unamfahamu Manuel Pellegrini, Bosi Mpya wa MCFC? H...
      • Real Madrid's Offer to Ronaldo
      • Kama Unataka Kujua Alichosema Cristiano Ronaldo Ju...
      • Cesc Fabregas Kadai Maisha ya La Liga ni Matamu, H...
      • Najua Unamfahamu Busta Rhymes wa Mamtoni. Sasa Som...
      • Busta Rhymes - #Twerkit (Remix) Ft. Nicki Minaj | ...
      • Umeiona Kmart Clothing Collection Ya Nicki Minaj? ...
      • Mourinho Alipoulizwa Kama Anamuhitaji Wayne Rooney...
      • Ushahidi wa Lionel Messi Kukwepa Kulipa Kodi Huu H...
      • Huu Hapa ni Ushahidi Kwamba Lewandowski Katia Dole...
      • Manchester United Wammulika Thiago Alcantara
      • Videos | TJ Boyce - It's On | Nayo mpyaa!
      • Videos | RaVaughn - Best Friend | Mpyaaaa Kabisa!
      • Glenn Lewis - Can't Say Love. Ni Mpya Hii.
      • Jay-Z Ampa Skylar Diggins Benz Kama Zawadi ya Gra...
      • Is Tatyana Ali Dating Drake?
      • D'You Want to Know What Kelly Price Is About to Do?
      • Joe Thomas Akifunguka; Pia Kuhusu Album Yake Mpya.
      • Fabregas Kusaini Manchester United ama Arsenal?
      • Mourinho "the happy one" Unataka kujua kwa nini? f...
      • Robert Lewandowski Haendi Bayern Munich
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ►  2012 (128)
    • ►  December (47)
    • ►  November (18)
    • ►  October (48)
    • ►  September (15)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile