RonaldoLionelMessi

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Wednesday, 17 July 2013

Hivi Nikisema Manchester United Hawamuhitaji Thiago Alcantara Kwa sababu Wanaye Tom Cleverley Utakataa?

Posted on 06:42 by Unknown
Ingawaje ilionekana kuwa wana Old Trafford hao kumuwinda vilivyo Thiago Alcantara na mwishowe imeonekana kwamba wamegonga ukuta kwani vyombo vya nje vimekwisha ripoti kuwa upo uwezekano mkubwa sana wa Thiago kwenda kwa bwana Guardiola kule Ujerumani kwenye timu  ya Bayern Munich. 

Lakini kuna usemi unaosemwa na vyombo vingi vya habari kwamba Manchester United hawana haja ya kumsumbukia Thiago kwani Tom Cleverley ni mkali zaidi kati ya hawa wawili na  kwamba waache kupoteza muda kwani Tom anaweza kufanya yote wanayohitaji Thiago afanye. 


Wewe kama ni mshabiki wa Man United unasemaje juu ya hili. 

Je, Tom anawatosha ama waendelee kumsaka Thiago na kama watamkosa basi watafute mwingine badala  yake? 

Je wakifanya hivyo, kazi ya Cleverley itakuwa nini? 

Ama kukaa benchi? 

Lete maoni yako hapo chini tafadhali kabla hujaondoka kwenye site hii.

http://AbelKalamata.blogspot.com ni zaidi ya yote.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Thomas Ulimwengu, Mbwana Samata na Wenzao Waliowasambaratisha Morocco
    Unaweza kuielezeaje mechi hii ya Stars v Morocco?
  • Liverpool Waliompa Kipigo Norwich Hawa Hapa
      Huku Suarez akipiga hat-trick
  • If You Missed Some Games of The AFCON From S.Africa. Here Are Actions in Pictures For You.
  • These are the 5 Problems That Manchester United Should Fix in Defence
    As Written by HITC SPORT   The System Ultimately the formation that Sir Alex Ferguson chose to play in the match against Cluj worked becaus...
  • Gossips About Usher Raymond, Tiffany Evans & Robbi Kristina
    Usher Raymond The drama continues to unfold between Usher and his ex-wife , Tameka. Following separate interviews on " Oprah's  Nex...
  • Is News About Wayne Rooney True?
    Although United are understood to be prepared to dispense with Rooney this summer should the club receive an offer in excess of £20m for the...
  • John Terry – Guilty and Not Guilty…What’s the difference?
    John Terry – Guilty and Not Guilty…What’s the difference?
  • 52 Ponda backers jailed. By The Citizen
    Story By Rosina John The Citizen Correspondent Fifty-two supporters of Muslim cleric Ponda Issa Ponda board a Prisons Department bus at Dar ...
  • Azam FC date Liberian team. Via IPPMEDIA
    Tanzania representatives in the CAF Confederation Cup, Azam FC have booked a last 16 game against Liberian club Barrack Y.C.II.   The first ...
  • MANDELA'S WIFE THANKS WORLD FOR 'LOVE, GENEROSITY'
    Via AP JOHANNESBURG  — The wife of former South African President Nelson Mandela says that love and generosity from across the world have br...

Blog Archive

  • ▼  2013 (172)
    • ►  August (33)
    • ▼  July (29)
      • Jose Mourinho relaxed over Chelsea interest in Way...
      • Gareth Bale May Be Set to Extend His Tottenham Con...
      • Liga: Martino: I Will Reject Any Offer for Fabregas
      • How Tottenham Hotspur can spend £50m and keep Gare...
      • Moyes hints there may be no Old Trafford signings ...
      • Ukitumiwa Barua na Huyu Dada Usije Ukabug man!
      • Rihanna Is SO Over Chris Brown! NO Regrets!
      • CHAN: Uganda v Tanzania preview
      • Fabregas ready to join United. Via SPEN.co.uk
      • Mjue Hussein Javu Striker Aliyetia Dolegumba Yanga...
      • Unajua Alichosema Ronadinho? Soma Hapa!
      • Messi: "Sihusiki na Kuajiriwa kwa Martino."
      • Cesc Fabregas Bado Kipenzi Cha David Moyes
      • Dear Reader, Huyu Ndiye Kocha Mpya wa Barcelona!
      • Soma Hii Habari, Itakueleza Nini Kinaendelea Kumuh...
      • Kuna Habari Nyingi Zinazomuhusu Wayne Rooney; Soma...
      • Hivi Nikisema Manchester United Hawamuhitaji Thiag...
      • Manchester United Waporwa Thiago na Bayern Munich ...
      • Guardiola Sasa Amtaka Thiago Alcantara!
      • Ndugu, Soma Hiki Kioja cha Soka Huko Nigeria!
      • Wayne Rooney Aanza Mzoezi Man United!
      • Follow Twitter Mpya ya Manchester United, Username...
      • Hawa Ndiyo Wachezaji wa Man United Waliopewa Kazi ...
      • Make more love, live longer - IOL Lifestyle | IOL....
      • When sex is cheap - IOL Lifestyle | IOL.co.za
      • Ifuatayo ni Biography ya 50 Cent
      • Unaweza Shuhudia Yanayotokea Misri kwa Njia ya Pic...
      • Haya Ndiyo Aliyoyasema Ronaldo Kuhusu Fununu za Ye...
      • News | K-Ci & JoJo Talk Classic Sound, Drake Payin...
    • ►  June (40)
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ►  2012 (128)
    • ►  December (47)
    • ►  November (18)
    • ►  October (48)
    • ►  September (15)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile