RonaldoLionelMessi

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Wednesday, 7 November 2012

Man United Nayo Yawaua Braga 3-1, Champions League

Posted on 23:45 by Unknown

Timu ya Manchester United nayo jana usiku  ilifanya mauaji baada ya kuichabanga Braga magoli 3-1 kwenye mashindo ya klabu bingwa ya Ulaya kwenye hatua ya makundi na kujikita kileleni mwa kundi lao huku wanaofuatia wakiachwa nyuma kwa pointi 8.

Magoli ya Man United yalikwamishwa nyavuni na Van Persie katika dakika  ya 80, Wayne Rooney katika dakika y 85 na Hernandez aka Chicharito katika dakika ya 90. Intavo ya dakika 5 kwa kila goli. Huku Braga ambao walikuwa wa kwanza kuliona lango la wapinzania wao walifunga goli lao katika dakika ya 49, goli lililowekwa kwenye nyavu na Alan. 

Timu zilipangwa kama ifuatavyo:-

Braga

  • 33 Beto
  • 04 Nuno Andre
  • 20 Echiejile (Ze Luis - 90' )
  • 44 Douglao
  • 05 Ruben Amorim (Barbosa - 86' )
  • 14 Ruben Micael
  • 25 Leandro Salino
  • 27 Custodio Booked
  • 45 Viana (Mossoro - 86' )
  • 17 Eder Booked
  • 30 Alan

Substitutes

  • 01 Quim
  • 15 Baiano
  • 21 Ismaily
  • 08 Mossoro
  • 22 Djamal
  • 10 Barbosa
  • 29 Ze Luis

Manchester United

  • 01 De Gea
  • 03 Evra
  • 06 Evans (Ferdinand - 58' )
  • 12 Smalling Booked
  • 07 Valencia
  • 08 Anderson
  • 11 Giggs
  • 17 Nani (Rafael - 73' )
  • 10 Rooney
  • 14 Hernandez
  • 19 Welbeck (Van Persie - 64' )

Substitutes

  • 13 Lindegaard
  • 02 Rafael
  • 05 Ferdinand
  • 16 Carrick
  • 18 Young
  • 23 Cleverley
  • 20 Van Persie

Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • If You Missed Some Games of The AFCON From S.Africa. Here Are Actions in Pictures For You.
  • Thomas Ulimwengu, Mbwana Samata na Wenzao Waliowasambaratisha Morocco
    Unaweza kuielezeaje mechi hii ya Stars v Morocco?
  • Liverpool Waliompa Kipigo Norwich Hawa Hapa
      Huku Suarez akipiga hat-trick
  • Simba,Yanga nani kuchimba dawa kesho? | darhotwire
    Simba,Yanga nani kuchimba dawa kesho? | darhotwire
  • Hatimaye Lulu Aliona Jua.
    Yule msanii maarufu sana hapa nchini kwenye tasnia ya filamu za bongo maarufu kama "Bongo Movie" Elizabeth maarufu kama "Lulu...
  • Pictures: Mario Balotelli's car gets pissed on and greased with bum sweat by Man United fans | 101GG Football news
    Pictures: Mario Balotelli's car gets pissed on and greased with bum sweat by Man United fans | 101GG Football news
  • Wayne Rooney Aanza Mzoezi Man United!
    Meneja mpya wa Man United Daivd Moyes amesisitiza kwamba ana mahusiano mazuri sana na mchezaji wake Wayne Rooney na kuthibitisha kwamba msha...
  • John Terry – Guilty and Not Guilty…What’s the difference?
    John Terry – Guilty and Not Guilty…What’s the difference?
  • These are the 5 Problems That Manchester United Should Fix in Defence
    As Written by HITC SPORT   The System Ultimately the formation that Sir Alex Ferguson chose to play in the match against Cluj worked becaus...
  • Kibaki stands with outraged Kenyans, rejects Sh2.1b MPs bonus. via Capital FM-Kenya
    As it was reported yesterday by Capital FM-Kenya   NAIROBI, Kenya, Oct 9 – President Mwai Kibaki has declined to assent to the amended Fina...

Blog Archive

  • ►  2013 (172)
    • ►  August (33)
    • ►  July (29)
    • ►  June (40)
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ▼  2012 (128)
    • ►  December (47)
    • ▼  November (18)
      • Rooney: Let's kick on now. Via Bleacher Report
      • Sir Alex Ferguson wants Euro hat-trick before he r...
      • KIKOSI CHA STARS HIKI HAPA
      • Man United Nayo Yawaua Braga 3-1, Champions League
      • Celtic Yawafanyia Kweli Barcelona
      • Didier Drogba Stays in China..!
      • Champions League: Man City 2-2 Ajax & Arsenal 2-2 ...
      • US Election. As it Happened. (News in Pictures)
      • Profile: Barack Obama. Via ALJAZEERA
      • Obama Owns the WHITE HOUSE For The Second Term
      • Man United 2, Arsenal 1, As it Happened Yesterday ...
      • Did You Know That Justin Timberlake and Jessica Bi...
      • U.S. election — It’s all over but for the rage. Vi...
      • Wilfred Zaha, Wanted by Man United
      • "Respect Robin Van Persie." Says Arsene Wenger
      • It's Manchester v Arsenal Again. Read the Five Key...
      • The Happy Di Matteo..!
      • Have You Heard? It Is Luis Nani Who Is Blamed For ...
    • ►  October (48)
    • ►  September (15)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile