RonaldoLionelMessi

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Thursday, 4 October 2012

Simba vs Yanga; Jinsi Ilivyokuwa

Posted on 10:10 by Unknown
Jana ilikuwa ni siku nzuri sana kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania baada ya kupata nafasi nzuri sana ya kushuhudia kandanda safi la watani wa jadi Simba na Yanga. Hiyo ilikuwa ni mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wengi. 

 Mlinzi wa Simba Shomari Kapombe akiudhibiti mpira uliokuwa
 unawaniwa na Said Bahanuz, mshambuliaji wa Yanga.

Yanga wakiwa nyuma kwa goli moja baada ya Simba kuwahi kufunga mapema sana kunako dakika ya 4 tu kipindi cha kwanza baada ya Amri Kihemba kuunganisha krosi iliyochongwa na Mwinyi Kazimoto, walicheza mpira kwa utulivu wa hali ya juu na kujaribu kutafuna nafasi mbalimbali za kusawazisha goli hilo. Lakini hadi wakienda mapumziko bado mambo yalikuwa magumu kwao. 

Kipindi cha pili kilishuhudiwa kwa timu zote kuendelea na kandanda safi japo Yanga walionekana kuwa ni zamu  yao kuutawala mchezo huku wakijaribu kuwatumia mawinga wake kupeleka mashambulizi langoni mwa wapinzani wao hao wa jadi.

Ilikuwa ni dakika ya 65 baada ya kosa la beki wa Simba Jonas Mkude kuunawa mpira na kuwazawadia Yanga penati iliyopigwa kwa ufundi na kwa shuti kali na Said Bahanuzi na hivyo Yanga kusawazisha goli.

Refa wa mchezo wa jana Mathew Akrama kutoka Mwanza alimzawaadia kadi nyekundu Simon Msuva kwa kujaribu kumdanganya mwamuzi kwamba aliangushwa na kumpiga teke kwa makusudi mchezaji wa simba zikiwa zimebakia dakika kama kumi hivi kumalizika kwa mchezo huo. 
 

Mwamuzi wa mchezo wa jana alijizolea sifa nyingi sana za kuushindwa mchezo huo kwani maamuzi yake mengi yalionekana kuwa na utata hasa baada ya kuonekana kuwanyima Simba penati na kulikataa goli la Yanga. Pia alitoa kadi ya njano kwa mchezaji wa Simba aliyefanya faulo iliyoonekana kustahili kadi nyekundu.

Vikosi vya timu zote mbili vilikuwa kama ifuatavyo:-

Yanga: Yaw Berko, Mbuyu Twite, Stephano Mwasika, Nadir Haroun, Kelvin Yondani,Athuman Iddi maarufu kama Chuji, Nizar Khalfan, Haruna Niyonzima Hamis Kiiza na Simon Msuva.

Simba: Juma Kaseja, Nassoro Masoud, Paul Ngalema,Juma Nyoso, Shomari Kapombe, Jonas Mkude, Amri Kiemba, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Edward Christopher na Mrisho Ngasa.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • If You Missed Some Games of The AFCON From S.Africa. Here Are Actions in Pictures For You.
  • Thomas Ulimwengu, Mbwana Samata na Wenzao Waliowasambaratisha Morocco
    Unaweza kuielezeaje mechi hii ya Stars v Morocco?
  • Liverpool Waliompa Kipigo Norwich Hawa Hapa
      Huku Suarez akipiga hat-trick
  • Who has the best squad for title race - United, City, or Chelsea?
    Who has the best squad for title race - United, City, or Chelsea?
  • Ndugu, Soma Hiki Kioja cha Soka Huko Nigeria!
    T imu nne za mpira wa miguu zimesimamishwa kucheza soka nchini Nigeria baada ya mechi zao kuleta matokeo ya utatanishi kwa mechi hizo kumali...
  • Aston Villa vs Newcastle United: Same boat, different engine. Via HITC SPORT
    Alan Pardew's side head to Villa Park just one point ahead of the home team in the league, but differing transfer windows will likely ...
  • Manchester United Transfer Rumours: Cristiano Ronaldo Deal Reportedly Close | Bleacher Report
    Manchester United Transfer Rumours: Cristiano Ronaldo Deal Reportedly Close | Bleacher Report
  • Hatimaye Lulu Aliona Jua.
    Yule msanii maarufu sana hapa nchini kwenye tasnia ya filamu za bongo maarufu kama "Bongo Movie" Elizabeth maarufu kama "Lulu...
  • Pictures: Mario Balotelli's car gets pissed on and greased with bum sweat by Man United fans | 101GG Football news
    Pictures: Mario Balotelli's car gets pissed on and greased with bum sweat by Man United fans | 101GG Football news
  • Celtic Yawafanyia Kweli Barcelona
      Timu ya Celtic jana  usiku ilionesha kwamba Barcelona si chohcote kwao baada ya kuwatungua mara mbili kwa magoli yaliyowekwa kimiani na Wa...

Blog Archive

  • ►  2013 (172)
    • ►  August (33)
    • ►  July (29)
    • ►  June (40)
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ▼  2012 (128)
    • ►  December (47)
    • ►  November (18)
    • ▼  October (48)
      • 5 Conclusions From Arsenal's 7-5 Win Over Reading,...
      • What does Jonny Evans Say About Fernando Torres an...
      • Will Manchester United Finish up Chelsea Once Agai...
      • What we Learnt from Chelsea v Manchester United La...
      • Nani Mkali wa Soka Miongoni mwa Wahispania Hawa?
      • Do You Know Mr. Mark Clattenburg, the Referee? Her...
      • This is What Took Place Inside the Stanford Bridge...
      • Will Robeerto Mancini Last Long?
      • One of These 5 May Replace Rio Ferdinand
      • Chicharito "The Superman" for Manchester United
      • Sir Alex Ferguson Prefers Guardiola to Take Over A...
      • Lampard Huenda Akaikosa Mechi Dhidi ya Manchester ...
      • The Angry Wenger
      • Hivi Unasemaje Kuhusu Patnaship ya Rooney na RVP?
      • Hawa Ndiyo Wakali wa Man United v Stoke City
      • Didier Drogba and His Colleague Anelka Aren't Paid...
      • Ashley Cole Apigwa Faini Huku John Terry Akiadabis...
      • Ni Sawa Kwa Man City Kumuuza Mario Balotelli?
      • At Last Drake Graduates From High School
      • Did President Obama Fight Back Very Well?
      • Penati zawatoa Waganda Kombe la Mataifa ya Afrika
      • Wapenzi wa Soka Senegal Wazusha Vurugu Baada ya Ku...
      • Ashley in The Squad Despite His Ugly Tweet.
      • Kibaki stands with outraged Kenyans, rejects Sh2.1...
      • Barack Obama jokes about poor debate
      • Man United Moto Kwa Newcastle
      • Happy Arsenal..! As it Happened Against West Ham.....
      • This is How Manchester City Won Easily Against Sun...
      • Player Ratings in Chelsea vs Norwich Match
      • US presidential debates: Fact or fiction? - Inside...
      • Unajua Aaron Ramsey wa Arsenal Amesema Nini?
      • Do You Know Who Said, "Joe Hart is World's Best Go...
      • Simba vs Yanga; Jinsi Ilivyokuwa
      • Hatimaye Jonjo na Sir Alex Ferguson Wapatana
      • These are the 5 Problems That Manchester United Sh...
      • What do You Say of The Wayne Rooney & Van Persie C...
      • Do You Think Nani Should be Sold in 2013?
      • Deabte: Who is Chelsea's Best Footballer Up to Now?
      • Man United vs CFR Clj. According to Bleacher Report
      • Simba,Yanga nani kuchimba dawa kesho? | darhotwire
      • Texas poll finds Romney ahead of Obama, Perry job ...
      • Mourinho to Return to England
      • Know What Sir Alex Ferguson Says About Foreign Pla...
      • Man United to Play Champions League Game Without K...
      • Messi: "Remember me as a Good Guy." As Written by ...
      • Gossips About Usher Raymond, Tiffany Evans & Robbi...
      • Final Debate Preparations of Obama and Romney
      • This is What Fans Learnt From Man United and Spurs...
    • ►  September (15)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile