Frank Lampard anaweza kuikosa mechi kati ya Chelsea na Manchesster United itakayopigwa Jumapili ijayo baada ya kuumia na kuchechemea wakti wa pambano lao la ligi ya mabingwa pale walipopambana na kupewa kichapo na Shakhtar Donetsk kwenye dakika ya 18 tu siku ya Jumanne. Je, unafikiri Chelsea wakimkosa Frank Lampard wataathirika kwa namna moja au nyingine?
0 comments:
Post a Comment